Government Logo
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania

Miradi iliyokamilika

TAARIFA ZILIZOWASILISHWA NA TUME KWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA

  1. Taarifa kuhusu uharakishwaji wa Mashauri Mahakamani ya mwaka 1986.
  2. Taarifa kuhusu Utendaji wa Mawakili wa Kujitegemea ya mwaka 1987.
  3. Taarifa kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai kuhusu Kuwalipa Fidia wahanga wa Makosa ya Jinai ya mwaka 1990.
  4. Taarifa kuhusu Athari za Mfumo wa Haki Jinai kuhusu kukabiliana na Ubadhirifu kwnye Taasisi na Mashirika ya Umma ya mwaka 1990.
  5. Taarifa kuhusu Matatizo ya Msongamano wa Wafungwa ya mwaka 1994.
  6. Taarifa kuhusu Uanzishwaji wa Mfumo wa Kusamehe Wafungwa ya mwaka 1994.
  7. Taarifa ya Mapitio ya Sheria zinazosimamia Ubadhirifu wa Fedha za Kigeni ya mwaka 1994.
  8. Taarifa ya Mapitio ya Sheria zinazohusu Watoto ya mwaka 1994.
  9. Taarifa ya Mapitio ya Sheria za Usalama Barabarani ya mwaka 1991.
  10. Taarifa  ya Mapitio ya Sheria ya Ndoa ya mwaka  1994.
  11. Taarifa ya Mapitio ya Sheria za Mirathi ya mwaka 1995.
  12. Taarifa ya Mapitio ya Sheria Zilizoko kwenye Taarifa ya Tume ya Nyalali ya mwaka 1996.
  13. Taarifa ya Mapitio ya Sheria  ya Makosa ya Jinai kama Nyenzo ya Kulinda Haki za Wanawake ya mwaka 1998.
  14. Taarifa ya Mapitio ya Sheria za Kazi ya mwaka 2001.
  15. Taarifa ya Mapitio ya Sheria Zinazosimamia Usalama Barabarani ya mwaka 2003.
  16. Taarifa ya Mapitio ya Sheria Zinazosimamia  Polisi na Magereza ya mwaka 2004.
  17. Taarifa kuhusu Mtiririko wa Haki ya mwaka 2004.
  18. Taarifa Kuhusu Utolewaji wa Huduma za Kisheria na Wasaidizi wa Sheria ya mwaka 2004.
  19. Taarifa kuhusu Uhuru wa Kupata na Kutoa Habari ya mwaka 2004.
  20. Taarifa ya Mapitio ya Sheria ya Rushwa ya mwaka 2004.
  21. Taarifa ya  Mapitio ya Sheria za Utalii ya mwaka 2004.
  22. Taarifa ya  Mapitio ya Mfumo wa Utolewaji Faini ya mwaka 2006.
  23. Taarifa kuhusu Uanzishwaji wa Uraia wa Nchi Mbili ya mwaka 2006
  24. Taarifa ya Mapitio ya Sheria Zinazohusiana na Biashara kupitia  Mtandao ya Mwaka 2006.
  25. Taarifa kuhusu Uanzishwaji wa Mfumo wa Sheria unaosimamia matumizi ya DNA Tanzania ya mwaka 2008.
  26. Taarifa ya Mapitio ya Sheria ya Makosa ya Kujamiana ya mwaka 2009
  27. Taarifa za Mapitio ya Kanuni za Mahakama ya Rufaa , ya mwaka 2009.
  28. Taarifa ya Mapitio ya Sheria ya Mila zinazokinzana na Katiba na Haki za Asili, ya mwaka 2008.
  29. Taarifa ya Mapitio ya Sheria zinazohusu Watu Wenye Ulemavu, ya mwaka 2009.
  30. Taarifa kuhusu kuendelea au kutoendelea kwa Adhabu ya Kifo , Viboko na Vifungo vya Muda Mrefu, ya mwaka 2009.
  31. Taarifa ya Mapitio ya Sheria za Mila kwa Makabila yanayofuata Mkondo wa Ukoo wa Mama, ya mwaka 2013.
  32. Taarifa ya Mapitio ya Mfumo wa Mashauri ya Madai, ya mwaka 2013.
  33. Taarifa ya Mapitio ya Sheria zinazosimamia Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi, ya mwaka 2017.
  34. Taarifa ya Mapitio ya Sheria zinazosimamia Manunuzi ya Umma, ya mwaka  2016.
  35. Taarifa ya Mapitio ya Sheria zinazolinda Taaroifa Binafsi za Watu, ya mwaka 2016.
  36. Taarifa ya Mapitio ya Sheria  zinazosimamia Ustawi wa Wazee, ya mwaka 2017.
  37. Taarifa ya Mapitio ya Sheria zinazosimamia Haki za Walaji, ya mwaka 2017.
  38. Taarifa ya Mapitio ya Sheria zinazosimamia Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu, ya mwaka 2018.
  39. Taarifa ya Mapitio ya Mfumo wa Sheria ya Utoaji Huduma za Ustawi wa Jamii, ya mwaka 2018.
  40. Taarifa ya Mapitio ya Mfumo wa Sheria kuhusu Utoaji wa Haki Jinai, ya mwaka 2018.
  41. Taarifa ya Mapitio ya Mfumo wa Sheria zinazosimamia Ufilisi Tanzania, ya mwaka 2019.
  42. Taarifa ya Mapitio ya Sheria inayosimamia Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, ya mwaka 2019.
  43. Taarifa ya Mapitio ya Sheria ya Ushahidi, ya mwaka 2019.
  44. Taarifa ya Mapitio ya Mfumo wa Sheria unaosimamia Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi ,ya mwaka 2020.
  45. Taarifa ya Mapitio ya  Sheria zinazosimamia Utatuzi wa Migogoro, ya Kazi ya mwaka 2020.
  46. Taarifa ya  Mapitio ya Sheria zinazosimamia Uwakilishi  Mahakamani,  ya mwaka 2021.
  47. Taarifa ya Mapitio ya Sheria zinazosimamia Wazee wa Mahakama Tanzania, ya mwaka 2021.
  48. Taarifa ya Mapitio ya Sheria zinazosimamia Mfumo wa Masoko ya Mazao ya Kilimo ,ya mwaka 2022.
  49. Taarifa Kuhusu Tathmini ya Utekelezaji wa Sheria Zinazosimamia Adhabu Mbadala Tanzania,  ya mwaka 2022.
  50. Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Sheria  Zinazosimamia Sekta ya Mifugo Tanzania ,ya mwaka 2022.
  51. Taarifa ya Mapitio ya Mfumo wa Sheria zinazosimamia Jumuiya ya Tanzania, ya mwaka 2022.
  52. Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Sheria Zinazosimamia Sekta ya Utalii Tanzania, ya mwaka 2022.
  53. Taarifa ya Mapitio ya Mfumo wa Sheria Zinazosimamia Uchaguzi na Vyama vya Siasa, ya mwaka 2022.
  54. Taarifa ya  Mapitio ya Mfumo wa Sheria Zinazosimamia  Makosa Dhidi ya Maadili ya mwaka 2023.
  55. Taarifa ya Mapitio ya Mfumo wa Sheria Zinazosimamia Udhamini, ya mwaka 2023.
  56. Taarifa ya Mapitio ya Mfumo wa Sheria Zinazosimamia Makosa ya Uhujumu Uchumi na Uhalifu wa Kupangwa, ya mwaka 2024.
  57. Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Sheria ya Ulinzi wa Watoa Taarifa na Mashahidi, ya mwaka 2024.
  58. Taarifa ya Mapitio ya Mfumo wa Sheria zinazosimamia Dhamana,  ya mwaka 2024.
  59. Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Sheria ya Hakimiliki na Hakishiriki , ya mwaka 2024.
  60. Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Kifungu cha n 91 (3) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, ya  mwaka 2024
  61. Taarifa ya Mapitio ya Sheria zinazosimamia Adhabu ya Viboko, ya mwaka 2024.
  62. Taarifa ya Tathmini ya Sheria zinazosimamia Usafiri Majini, ya mwaka 2024.
  63. Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Sheria zinazosimamia Usafiri Ardhini , ya mwaka 2024.
  64. Taarifa ya Mapitio ya Sheria zinazosimamia  Vivutio vya Kikodi kwa uwekezaji wa kimkakati na kimkakati maalum , ya mwaka 2024
  65. Taarifa ya Mapitio ya Sheria ya Kampuni, Sura ya 212.
  66. Taarifa ya Mapitio ya Sheria ya Majina ya Biashara, Sura ya 213.