Maafisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania wakiendele kutoa elimu ya sheria kwa Umma katika Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid Campaign) inayoendelea katika Viwanja vya Maturubai Mbagala Dar es salaam Tarehe 18/6/2025.