KIPINDI MAAALUM KUHUSU MCHANGO WA TAFITI ZA SHERIA KATIKA UKUAJI WA UCHUMI NA JAMII
05 Sep, 2024
Fuatilia kipindi maalum katika kituo cha habari cha AZAM TV siku ya Alhamis ya tarehe5/09/2024 saa 7.30 asubuhi kuhusu mchango wa tafiti za sheria unaofanywa na Tume ya Kurerekebisha Sheria Tanzania ( LRCT) katika ukuaji wa Uchumi na kijamii