Maafisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, wakiendelea kutoa huduma ya Elimu ya Sheria na Msaada wa Kisheria kwa wananchi kupitia Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) katika uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba mkoani Kagera.