Tume ya Kurekebisha Sheria yazindua Law reformer Journal Tarehe 21 Agost 2024 Mkoani Dodoma
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari akipokea Law reformer Journal aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya kurekebisha Sheria Tanzania Mh. Jaji, Winfrida Korosso baada ya kuzinduliwa rasmi mapema leo 21 Agost 2024 Mkoani Dodoma